zeno
Home
Explore
Religious
Music
News
Podcasts
Bible
By Genre
By Location
By Language
Download App
Log in
Sign up
Toggle Sidebar
zeno
Innocent Morris
Innocent Morris
Christianity
How To
Self-Improvement
Swahili
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Website
Episodes
108
03 January 2026
MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris
Send us a textKaribu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya.Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukimkabidhi Bwana mipango yetu, familia zetu, na taifa...
1 h 43 min
03 January 2026
UNABII WA MWAKA MPYA 2026 | Innocent Morris
Send us a textKatika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026. Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako katika mwaka huu mpya wa 2026.Pia utajifunza namna ya kuishi maisha ya kumiliki katika mwaka mpya wa 2026.Contacts: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit...
22 min
24 November 2025
MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris
Send us a textOmba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.MSTARI:"Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa."Mathayo 15:13Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)
1 h 33 min
14 November 2025
JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris
Send us a textKuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maombi ya usiku.Sikiliza sasa somo hili.Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit...
58 min
14 November 2025
JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris
Send us a textUvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba.Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainuka...
1 h 6 min
14 October 2025
JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris
Send us a textKaribu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri.Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakosea na utajua namna ya kurekebisha makosa hayo.Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho.Sikiliza sasa somo hili.Usisahau...
1 h 5 min
14 October 2025
SIRI TANO ZA KUOMBA MAOMBI YENYE NGUVU - Innocent Morris
Send us a textJe, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na majibu na uko tayari kuona mabadiliko, basi video hii ni kwa ajili yako.Karibu ujifunze katika somo hili siri tano za kuomba maombi yenye nguvu.Sikiliza sasa somo hili.Usisahau KUSUBSCRIBE,...
1 h 3 min
14 October 2025
MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU
Send us a textJe, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atakuapatia haja ya moyo wako."Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu."Matendo ya Mitume 1:8Usiache kushiriki podikasti...
57 min
16 September 2025
MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris
Send us a textMAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent MorrisKaribu kwenye maombi haya ya ukombozi kwa Damu ya Yesu Kristo.Damu ya Yesu ina nguvu ya kuleta uponyaji, uhuru, msamaha na ushindi dhidi ya nguvu zote za giza.Ungana nasi katika maombi haya na amini kwa moyo wako wote, kwa kuwa maandiko yanasema:"Nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo, na kwa neno la...
1 h 15 min
16 September 2025
MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris
Send us a textMAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent MorrisKatika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza kutembea kwa unyenyekevu, kutii Neno lake na kuepuka kiburi kinachotuzuia kuona utukufu wake.Utaongozwa kuomba ili:Mungu akuvike moyo wa unyenyekevu.Uishi maisha yanayompendeza Kristo.Ushinde roho...
40 min