Skip to content
Opens in a new window
Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha
08 August 2026

Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha

Changu Chako, Chako Changu

About

Makala hii imeangazia mwanariadha na mwendesha baiskeli mashuhuri Miguel Masaisai alivyoandikisha historia kwa kusafiri na baiskeli yake kwa muda wa miezi mitatu kutoka Goma hadi mjini Kinshasa, zaidi ya kilomita 2500 kupeleka ujumbe wa amani, na pia ustadi wa tafsiri ya lugha mbali mbali, katika mikutano ya kimataifa inayofanyika sehemu kadhaa duniani