
21 June 2026
Changu chako: Tamaduni mbalimbali zilizopitwa na wakati juni 21 2026
Changu Chako, Chako Changu
About
Karibu katika Makala changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Makala kuhusu tamaduni mbalimbali ambazo zimepitwa na wakati katika makabila mbalimbali, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Dully Sikes kutoka nchini Tanzania. Mimi ni Ali Bilali, Binevenue ama Karibu.