
14 June 2026
Changu Chako: Tamaduni mbalimbali za kiafrika na mlimbwende kutoka Kenya
Changu Chako, Chako Changu
About
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki. Mimi ni Ali Bilali nakukaribisha karibu, ama Bienvenue.
Kumbuka pia kunifuatilia
@billy bilali