Changu Chako Chako Changu vijana wa Mombasa na fursa kwenye tasnia ya filamu Feb 1 2026
02 March 2026

Changu Chako Chako Changu vijana wa Mombasa na fursa kwenye tasnia ya filamu Feb 1 2026

Changu Chako, Chako Changu

About

Katika safari yangu huko Mombasa, nimekutana na vijana kwenye tasnia ya Filamu na kufanya nao mazungumzo kuhusu tasnia hii namna inavyopiga hatuwa pamoja na chamgamoto zake.

Kumbuka kutufualia @billy bilali