
21 March 2026
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa matumizi ya viungo kwenye chakula march 22 2026
Changu Chako, Chako Changu
About
Ni jumapili nyingine tunakutana katika makala Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupelekea visiwani Zanzibar kuangazia utamtuni wa matumizi ya viungo kwenye chakula, kwenye le parler francophone tutaangazia kuhusu sherehe za siku ya kimataifa ya nchi zinazo zungumza lugha ya Kifaransa, mimi ni Ali Bilali Bienvenue, ama Karibu.
kumbuka pia kutufollow kwenye mitandao ya kijamii @billy_bilali