18 October 2026
Changu chako chako changu, utamaduni wa baraza la wazee wa Kijaluo Oct 18 2026
Changu Chako, Chako Changu
About
Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili, changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya baraza la wazee wa kabila la wajaluo, na kwenye le parler francophone nitakuletea ratiba ya shughuli mbalimbali kwenye vituo vya Alliance Francaise, na tutahitimisha na burudani ya Muziki. Mimi ni Ali Bilali bienvenue, ama Karibu.
Kumbuka pia kutufollow @billybilali