chagua la msikilizaji
heribariki
Radio
Pointfm
About this podcast
kipindi hiki ni kwa ajili ya msikilizaji wa pointfm kuchagua wimbo au pendao kuusikia ndani ya radio
msikilizaji atapiga simu au kutuma ujumbe mfupi kupitia namba ambayo itakuwa imewekwa au kutajwa na host wa kipindi.
msikilizaji ataruhusiwa kuchagua wimbo mmoja tu.
kipind hiki kitakuwa kiruka hewani kila siku kuanzia saa 10 pm mpka saa 10 na nusu jioni.
Language
SwahiliCategories
Top CategoriesView all
2 episodes