Piom fm radio 100.1
Piom fm radio 100.1

Piom fm radio 100.1

Bwana Yesu Kristo Asifiwe tunapenda kukukaribisha kwenye radio yetu yenye maudhui au vipindi pendwa kabisa vya mafundisho ya neno la Mungu, Maombi , Maombezi na Kumtukuza Mungu kwa Nyimbo mbali mbali za kumsifu na KUMWABUDU Mungu, Pia karibu kutangaza pamoja nasi katika radio zetu kwa gharama Nafuu kabisa , Tangaza huduma yako Biashara yako na Nyimbo zako sasa tupigie simu sasa , lakini karibu Ofisin kwetu tunapatikana Dar es salaam Tegeta , Makao Makuu ya huduma ya PIOM CHURCH, Mungu akubariki sana

Unaweza Shiriki pia baraka hizi kwa kuchangia sadaka yako ili kuendeleza radio yetu yetu na Mungu atakubariki sana in Jesus name

Namba zetu, +255764319741 +255784757548

Announcement

February 24, 2024

Support our Vision and Ministry

Send your seed /Offering /Tithes Via +255766202525 or contact via email: prophetdanielmoshi7@gmail.com